Saturday, 27 July 2013

JE, HISABATI INAKUCHANGANYA?

NA BENIEL SEKA
Sikumojanilikutananamwandishimmojamahiri. Aliniuliza, “HivibadounaendeleanaharakatizakozakuhamasishaHisabati?”“Ndiyo,”nilimjibu.“Tenawakatihuunimepaniakwelikweli.NatakahatawalioikimbiaHisabatiwarudi.”
“Mimi sidhaniunawezakunirudisha.NimeachananaHisabatikabisa,” alijigamba.
“Lakinibadounaihitajikatikamaishayako,” nilimsisitizia.
“Sijashindwakuhesabumshaharawangu.Walachenjihainisumbui.Matumizimengingesiyahitaji.”
Sikunyingine, mwalimummoja, tenamsomialiyebobeakatikamasomoyasanaaaliwahikutamka, “Mimi hadileosijaelewakwaniniukizidishanusumaranusuunapatarobo. Mwalimuwangualinilazimishakukubali.Nilikubalishingoupandekwakuwanajuaukizidishaunapatanambakubwazaidi. Kuanziahaposikupendasomo la Hisabati.Nilionanisomo la kukariritubilakufuatamantiki. Wakatimwinginelinasemaukwelinawakatimwingineuongo”.
Watuhawawalinikumbushamwanasaikolojiammojaaitwaye Richard Skempambayealishangaakwaninibaadhiyawatuwenyeakili (Intelligent people) hushindwakufanyaHisabati. Huendakunabaadhiyawatuwenyemawazokamayamwalimu au mwandishihuyo. Siwalaumu.Inawezekanawanaambiwawakubalitukwakuwandivyo mambo yalivyo. Hebutujitahidikuwasaidiailitusiwapoteze.
Tunahitajikushirikiananaokufanikishasomo la hisabati.Tunajuakuwakuzidishakwanambanzimanikuundamafunguyaidadisawanakuyahesabu. Kwamfano, unajua 3x2 nimafungumawiliyenyevituvitatu. Halikadhalika,  x 4nimafungumanneyanusu. Unawezakukatamachungwamawilikatikatikilachungwakupatanusuhizonne. Kwahiyonusunnezinafanyambili. Yaani x 4 = 2.
          Unatambuakuwa 2 ninusuya 4. Kwahiyo x 4inawezakuitwanusuyanneambayoneno ‘ya’ limetumikabadalayaalamayakuzidishaya ‘x’. Tukirudisasakwenye x tunawezakuiandikakamaya.Unajuakuwanusuyakitunikukikatasehemumbilizinazolingana. Unapatanini?
          Natumainiunaonakuwaunapatarobo. Kama huamini, jaribukwavitendo. Hatamwalimuwetuhuyoangepatarobonaangeamini. Hatakamaalikuwaanafanya x asingepatataabu. Angekumbukakuwanambazakuzidishahuwezakubadilishananafasikwamfano 3x2=2x3 nakuliandikaupyakamax .Hatimayeanatafutaya.
          Hapaataonadhahirikuwakilaroboilikatwavipandeviwilikilakipandenimojaya 8 yaani. Kwakuwavipovitatuanapata 3 juuya 8 au .
        Kwamantikihii, (baadayakufanyakwavitendonakujiridhisha), anawezasasakutumiakanuni: ZIDISHA KWANZA KIASI KWA KIASI KISHA GAWANYA KWA ASILI MARA ASILI.Yaani x  = =.
Ni muhimukuchukuatahadharikuhusuhiikanuni. Ni rahisikwawasiokuwamakinikuitumiavibaya. Kanunihiiinatumikabaadayanambasehemuzinazozidishwakuwakatikamuundowakiasinaasili. Kuzidishanambamchanganyikokunahitajiutaratibumwingine
Labdakunabaadhiyenumnajiulizanambamchanganyikonizipi. Nambainayoundwakwamchanganyikowanambanzimanasehemuhuitwanambamchangayiko. Kwamfano, 3⅛ ambayoinamaanayatatu (nambanzima) namojajuuyanane (sehemu).
Katikahalihiyo, inakubidi kwanza ubadilishesehemumchanganyikokuwakatikamtindowakiasigawanyakwaasili. Kwakutumiamfanowetuhapojuutunaonani 25 gawanyakwa 8. Kiasikinakuwa 25 naasiliinakuwa 8.
Ukipewa 3⅛ x 2⅜, unabadilishakuwa 25/8 mara19/8. Sasaunatumiakanunikwakuzidisha25  kwa 8 kishagawanyakwa 8 mara 8. Ukiwamwangalifukatikakuzidishaunapata 475 juuya64 au 475/64.Unawezapiakuandikajibukamanambamchanganyikoyaani 7 na24  juuya 64.Baadhi yawatuwangefanya 3x2=6 ongeza⅛ x ⅜ nakupata 6 na 3 juuya 64 ambalosiyojibusahihi.
          Tunapokabiliananawatuwenyemawazohasikuhusuhisabati,  tutafutevyanzovyamawazohayo.Tunawezakukutawanahitajimaelezokidogotukurekebishamawazopotofuambayoamawameyarithikutokawatuwasiojuataalumahiyo au vyanzovinginevyaupotoshaji.Tuwewavumilivunakuwapatiadhanakwanjiashirikishizinazojengwakatikamazingirayakirafiki.

No comments:

Post a Comment