BenielSeka
Hesabunisomotuliloendeleanalobaadayakupatauhuru.Katikashulezamsingidarasa
la kwanza hadi la nne, somolilijikitakatikakuhesabu, kujumlisha, kutoa,
kuzidishanakugawanyanamba. Piahesabuzafedhazikiwapoankra,
vipimonawakativilikuwavinafundishwa.
Mkazouliwekwakwenyekukaririorodhayakuzidisha (Tebo) pamojanahesabuzakichwa.
VipimovilihusumfumowaKiingerza
(British Emperial System of measurements). Katikamfumohuo,
kulikuwanavipimovyaurefuambavyonipamojanainchi, futi, yadi, ‘cheini’ (chain)namaili.
Vipimovyauzanivilikuwawakia, ratili, ‘hundredweight (CWT)’ natani.
Vipimovyaujazovilikuwanipamojanapanti (pint), ‘kwati’ (quart), galoninadebe.
Uhusianokatiyakipimokimojanakingineulikuwamgumu.
Kwamfano, futimojailikuwanainchi 12. Yadimojailikuwanafuti 3 au inchi 36. ‘Cheini’mojailikuwanayadi
22 namailiilikuwanayadi 1760 au chain 80. Wakia 16
vilifanyaratilimojawakatiratili 112 zilikuwasawana hundredweight moja. ‘Handrediweiti’
20 zilifanyatanimojaambayoilikuwasawanaratili 2240.Nalodebelilkuwalinajazwakwagaloni
4.
Vitabuvilivyokuwavinatumikawakatihuovilikuwavimeandikwanawazungu.Vitabuhivyovilitumikahatabaadayauhuru.Hiiilitokananakutokuwepojitihadamaalumuzakuhamasishawazalendokuandikavitabuvyakitaaluma.Mfanommojanikitabukiitwacho
‘Misingiya Geometry’ (Foundations of Geometry) kilichoandikwana Kenneth
Anderson mwaka1963. Kitabuhichokilitafsiriwakwa Kiswahili mwaka 1964.
Baadhiyenumtakumbuka
vile vitabuvilivyoitwa ‘HesabuzaKikwetu’ villivyoandikwanaE.Carey Francis
nawenzake. Hivivilikuwanapichayatwigakwenyejalada lake
kuashiriakuwavilikusudiwakwa Tanganyika. Vingineni vile
vilivykusudiwakwashulezilizokuwazinafundishwakwalughayaKiingereza. Kwamfano,
‘Highway Arithmetics’ vilivyokuwanapichazatwiga, simba, tausinamashuaviliandikwakwaajiliyashulezaAfrikayamashariki.
Baadaya
Tanzania kuzaliwa, mabadilikoyalianzakujitokeza.Shuleza Kati (Middle schools)zilifanywasehemuyaelimuyamsinginakuitwa
‘Upper Primary Schools’. Shulenyinginezamsingizilianzakuingizadarasa la
tanonakuendelea. Shulehiziziliitwa ‘Extended Primary Schools’.Kuanzia 1966
darasa la nanelilianzakuondolewahatuakwahatua. Kwahiyo,
elimuyamsingiikawainaishiadarasa la saba. Mabadilikohayoyalisababishamabadilikokadhaayamitaala.
MojayamabadilikokwenyeHisabatini
‘hesabumpya’ zilizofanywakwamajaribiokatikabaadhiyashule
.Hesabuhizizilitokananamkutanowawanahisabatiuliofanyka Entebbe, Uganda.
MkutanohuouliofadhiliwanampangowaElimuwaAfrika( Education Services,
Incorporated) ulisababishavitabuvyaHisabatikuandikwakwaajiliyamajaribio.Waandish
30 kutokaAfrika, MarekaninaUingerezawalihusika. Shule 16 zikihusishamadarasa 17
zilishirkikwenyejaribio.
Kuwepokwajaribiohilokulifunguaukurasampyakwabaadhiyawaandishiwazawa.Waandishihaonipamojana
Raphael Mwajombena Michael Kinunda (wotesasamarehemu). Mwajombealiandika
‘Setininini?’ naKinundaaliandika ‘FurahiaHeabu’. Baadayajaribio, kitabu cha
kwanza cha ‘Hesabu Tanzania’ kilitayarishwana ‘Mahematics Unit’
ambachonikitengokilichoundajopo la wandishikatikaWizarayaElimuyaTaifamwaka
1967.
Kusudi la
mpangohuompyawahesabuulikuwakuwasaidiawanafunzikumuduhesabuza ‘kisasa’
(wakatihuo) kwanamna bora
ilivyowezekananakuwasaidiawagunduemawazonadhanazakihesabuwenyewe.
“Tunatakawanafunziwajifunzenawafikiriejuuyahesabu bora.”
Hayanimanenoyaliyondikwanawaandishikatikadibajiyakitabu cha kwanza cha Hesabu
Tanzania, Kiongozi cha Mwalimu.
Darasa la
kwanza lilitawaliwanamawazomapyayaseti. Dhanayaungano lasetiilifundishwasanjarinatendo
la kujumlisha. Dhanayasetitupuambaposifurisiosetitupuiliwachanganyasanabaadhiyawalimu.
Baadhiyawalimualiwapotoshawanafunzikwakuwaambiakuwaunganonakujumlishanikitukilekile.Hiyosikweli.
Miakayasabinimwanzoni,
Baraza la Kiswahili la Tanzania (BAKITA) liliundaneno ‘hisabati’
kuwatafsirisanifuyaneno ‘mathematics’ ambalonipanazaidikuliko ‘hesabu’.Hesabuni
‘arithmetics’ wakatihisabatiinajumuishahesabu, jometrinaaljebra. Hatahivyo,
kunabaadhiyawatuhadisasawanaoendeleakuliitasomo la hisabatikwaneno‘hesabu’.
TaasisiyaElimuiliyoundwa
1975 kamashirika la ummachiniyaWizarayaElimu, ilipewajukumu la kukuzamitaalakiitaifa.
Mwaka1979,
TaasisihiyoilifanyatathminiyaufundishajiwaHisabatikatikashulezamsingi Tanzania
Bara.
Tathminihiyoilioneshakuwawanafunziwalikuwawanamuduvizurimadayaseti.Madazamlandanonayamkinizilikuwangumukwangaziyamsingi.
Tathminiilipendekezamadahizoziondolewenaileyasetiibaki.
VitabuvipyaviliandikwanaTaasisiyaElimukwakuzingatiamapendekezohayo.
Kablayavitabuhivyokusambazwa,
WaziriwaElimualivionanakustukakwambamadayasetiilikuwepo.
WabungewaJamhuriyaMuunganowalikuwawamehojiuhalaliwamadahiyokatikangaziyamsingi.
Hivyoaliagizamadahiyoiondolewe.
Hiiilisababishavitabuhivyokuchelewakutumikanakusababishawanafunzikuendeleakutumiavitabuvyazamani.
Badiliko la
wazilinalojitokezakatikavitabuhivyoniutumiajiwavipimovyametriki.
Tangumwanzowanafunziwanajifunzavipimovyameta,kilometa,
sentimetanamilimetakwakupimaurefu. Kilogramu,gramunamiligramuvimeelezewakwaajiliyakupimauzani.
Kwenyeujazo, litaimekuwandiokigezokikuu.Piautumiziwaalamayamkatoumeondolewakwendanaagizo
la viwangodunianikuachakufanyahivyokuondoautataunaojitokezakwanchimbalimbali.
Hatimayevitabuhivyovilitokamwaka
1983.Vitabuhivyoviliendeleakutumikashulenihadi sera
yavitabuvingiilipoanzakufanyakazi.Kwa sera
hiyo,vitabuvilivyoandikwanaTaasisiyaElimu,
ambayoilishabadilishwajinanakuitwaTaasisiyaUkuzajiMitaala (TUM), vilichukuliwanakampunizauchapishajikwakuvisasishanakuviboresha.
Vitabuvingi,
vikiwapovyaHisabatikwaVitendo,vilipunguzatatizo la upungufuwavitabushuleni. TUMilibadilikajinatenanakuitwaTaasisiyaElimuTanzania
(TET). Mwaka 2005 TET ilibadilishamitaalayashulezamsinginakusababishamabadilikokadhaayamhutasariwaHisabati.Muhtasariulitajaujuziunaohitajikakukamilishamalengoyaliyokusudiwa.
Mabadilikohayayalihitajimhamowaruwazaambapomwalimuanatakiwaamfanyemwanafunzikuwakitovu
cha ufundishajikwakutambuauzoefuwamwanafunzinaafundishekwakuwajengeawanafunzimaanayadhana.
Piawanafunziwanatakiwawajifunzekwavitendoiliwajijengeeujuzi.
Seminambalimbalizimefanyikakuwaelimishawalimukuhusuufundishajiunaozingatiaujuzi.AidhaTaasisiyaElimu
Tanzania imeshaandaamiongozoyakuwasaidiawalimukufanyahilojukumujipya. Mambo
hayoyamefanyikakatikajitihadazakuinuakiwango cha uelewawasomo la
Hisabatihapanchini.
END
No comments:
Post a Comment